Saturday 18th, October 2025
@HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
Madaktari Bingwa wajulikanao kama “Madaktari bingwa wa Dkt. Samia" wanatarajia kutoa huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma.
Madaktari bingwa watatoa huduma mbalimbali ikiwepo Daktari bingwa wa watoto, Daktari bingwa magonjwa ya wanawake na ukunga, Daktari bingwa wa upasuaji, Daktari bingwa wa Usingizi na ganzi, Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Daktari bingwa wa kinywa na meno na Muuguzi mbobezi, Hivyo wanaMusoma tujitokeze kwa wingi kupata matibabu toka kwa madaktari wa Samia.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa