Sunday 22nd, December 2024
@MUGANGO
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mtanda anatarajia kutembelea Wilaya ya Musoma Ijumaa 16 Juni 2023.
MADHUMUNI YA ZIARA
Þ Kuongea na Watumishi wa Halmashauri (Mugango)
Þ Kukagua Miradi ya Mwenge wa Uhuru 2023
Þ Kusalimia Wananchi wa Musoma
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa