Shirika la EMEDO kwa kushirikiana na Shirika la Ipsos yamekuja na utafiti wa kwa nini wavuvi wengi huzama katika Ziwa Victoria.Kwa kupitia mwezeshaji wa shirika la EMEDO ambaye ndiye Mratibu wa Utafiti huu Ndg. Arthur Mugema, amebainisha sababu mbalimbali zinazosababisha wavuvi wengi kuzama majini.Baadhi ya sababu hizo ni kama ifuatavyo
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa