• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

WASIMAMIZI WA VITUO 418 NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO 752 WA VITUO VYA KUPIGA KURA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAAPISHWA

Posted on: October 26th, 2025

Wasimamizi wa Vituo 418 na Wasimamizi wa wasaidizi wa Vituo 752 vya uchaguzi Jimbo la Musoma Vijijini, wamehimizwa kusimamia viapo vyao na kujiepusha kuwa chanzo cha malalamiko na vurugu wakati wote wa zoezi zima la upigaji kura siku ya Jumatano Oktoba 29, 2025.

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu. Magange Hamis Mwita, ameyasema hayo leo Jumamosi, Oktoba 26, 2025, wakati wa shughuli ya

ufunguzi wa mafunzo hayo. Amesisitiza kusoma vyema katiba, sheria, kanuni, taratibu, miongozo na maelekezo ya tume ilikuufanya uchaguzi kuwa huru na haki kama ilivyo dhamira na

Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).

"Ni vyema mkajiepusha kuwa chanzo cha malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa kwa kushirikiana vyema na mawakala wa vyama vya siasa watakaokuwa kwenye vituo vyao kwa mujibu wa sheria," amesema Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Musoma Vijijini.

Matangazo

  • SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI OKTOBA 29, 2025 October 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA KATIKA WA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 October 20, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI 2025 October 03, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023 December 14, 2022
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • WANANCHI WA KIJIJI CHA KATARYO KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA LISHE KITAIFA 2025

    November 21, 2025
  • KILELE CHA MAADHIMISHO YA LISHE KITAIFA KATIKA KIJIJI CHA KATARYO KILICHOPO KATA YA TEGERUKA.

    November 21, 2025
  • KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI YAANZA TATHMINI YA MAOMBI YA MIKOPO YA TSH 700 MILIONI KWA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    November 19, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI KUTEULIWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA 2025 - 2030

    November 18, 2025
  • Angalia Yote

Video

KILELE CHA MAADHIMISHO YA LISHE KITAIFA YALIYOFANYIKA KIJIJI CHA KATARYO KATA YA TEGERUKA 2025
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OWM - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa