Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo Januari 5, 2024 amefanya ziara katika Halmashauri yetu ya Musoma na kukagua ujenzi wa Sekondari ya Wanyere, Nyumba za Wakuu wa Idara, Maabara ya Sekondari ya Etaro na kufanya mkutano na Wananchi katika Kata ya Etaro. Amewapongeza Wananchi katika Kijiji Cha Wanyere na Etaro kwa kuchangia maendeleo.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa